Jumatano, 29 Julai 2015
PICHA NA HISTORIA YA MAPANGO YA KONDOA IRANGI (TANZANIA)
Je Umeipenda Hii Habari?
Kuna sababu mbalimbali zilizopelekea binadamu kubadilisha mifumo ya kuishi (life style) na hii imesababisha mabadiliko makubwa sana katika upande wa ujenzi tokea kuishi kwenye vichaka na miamba/mapango mpaka sasa kwenye majengo. Hivyo basi hatuna budi kukupa historia za tamaduni zetu na maeneo waliyoishi miaka hiyo na kama ukivutiwa zaidi unaweza tembelea (utalii wa ndani).
Historia ya mapango
ya kondoa irangi
Mapango ya kondoa irangi yapo
wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma nchini Tanzania. Yapo umbali wa kilomita tisa
(9) kutoka barabara kubwa inayoelekea Arusha. Mapango haya yana michoro
iliyochorwa yapata miaka 1500s iliyopita na watu wa zamani, michoro hii
inaonesha umbo la binadamu akiwa anawinda, anavuka mto, akipiga kifaa cha muziki
na maumbo ya wanyama ambao ni tembo, twiga na paa(palahala).
Chanzo :
Ukarimu blog
Picha zingine za
mapango ya kondoa irangi
Kupata historia zingine bonyeza baandishi ya blue hapo chini
USIPITWE!!
Endelea kuwa nasi kwa taarifa nyingine zinazohusu ujenzi
kwa ushauri/maoni/swali
wasiliana nasi kupitia
Namba ya simu: +255 753 066
151, +255 655 699 342, +255 714 835 965
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 COMMENTS
Chapisha Maoni