+255 753 066 151

ujenzielekezi04@gmail.com

Ubungo Kibangu at Kinondoni Dar-es-salaam Tanzania

Ijumaa, 17 Julai 2015

JIFUNZE HAPA KWA PICHA JINSI UNAVYOWEZA KUPENDEZESHA MAZINGIRA YA JENGO LAKO



Habari za wakati mpendwa msomaji! hapana shaka ushawahi kusikia usemi wa wahenga usemao “kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza” na ule usemao “usione vyaelea ujue vimeundwa” basi yanaakisi utakayoenda kuyaona hapa.
Kwanza kabisa utengenezaji mzuri wa mpangilio wa mazingira yanayokuzunguka husaidia vitu vingi kama kuua wadudu wanaokaa sehemu zenye uchafu, kurahisisha upitaji, kuboresha afya, na pia ni urembo.
Mbali na sifa za kutengeneza mazingira hapo juu pia kama utaweza kutengeneza vizuri inaweza kuwa fursa ya ajira maana si kila mtu anaeweza wengine huomba kusaidiwa. Pia zipo hadi kampuni zinazotoa huduma hii.
MAELEZO KWA PICHA
hatua ya kwanza

hatua ya pili

hatua ya tatu

zao lake (end product)

kwa ushauri/maoni/swali wasiliana nasi kupitia
Namba ya simu: +255 753 066 151, +255 655 699 342, +255 714 835 965

2 COMMENTS

Admin alisema ...
25 Julai 2015, 17:09

its wonderful...huwezi amini kama n matairi ndo yanaweza kupendezesha nyumba kiasi hicho


Unknown alisema ...
25 Julai 2015, 21:39

yaap mambo ya ubunifu na kupunguza gharama ya urembo


Chapisha Maoni

Popular

All Rights Reserved UJENZI ELEKEZI | Mtengenezaji wa BLOGG CHIKULO +255657103506 | +255753103506