Jumamosi, 12 Septemba 2015

Habari za wakati mpendwa msomaji!
tunatumaini umzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku.
Katika ujenzi kila kazi/kitu kina muda
wake mfano huwezi peleka mabati kwenye eneo unalojenga(site) wakati ndiyo kwanza
unachimba msingi hivyo basi hata mfumo wa umeme unamuda wake.
Kumbuka: Lengo la
kukuwekea mada hii ni...
Alhamisi, 10 Septemba 2015

Habari za wakati mpendwa msomaji! Karibu
tena kwenye uwanja huru wa kujipatia taarifa na elimu mbadala kwa mambo ya
ujenzi.
Ujenzi wa nyumba ya kuishi ni jukumu
ambalo kila mtu hulifikiria pale anapofikisha umri fulani wa kujitambua, mara
nyingi sio kila mtu anayefikiria hupata fursa ya utekelezaji la hasha hutegemea
kipato cha...
Jumamosi, 22 Agosti 2015

Habari za wakati huu mpendwa msomaji wa makala zetu za ujenzi.
leo tutaangazia chanzo cha ugonjwa wa kipindupindu ambao umeukumba jamii yetu, Na tatizo hili limekuwa likijirudia takribani kwa kila mwaka nchini kwetu. Tukiwa kama wataalamu wa ujenzi, Tunaliangazia suala hili katika mtazamo nyeti na chanya kabisa.
SeemAndhra - mji...
Ijumaa, 21 Agosti 2015

Habari za wakati ! pasi na shaka u mzima
wa afya, na kama haupo vizuri basi mungu atakujaalia kwa
njia atakayopendelea maana mungu hamtupi mja wake.
Kama haujawahi kufatilia historia za
mwanzo wa binadamu kuishi kwenye majengo ipo hivi;
Katika miaka ya 3500BC – 324BC (yaani
kabla ya kuzaliwa yesu)...
Jumapili, 16 Agosti 2015
Habari za wakati mpendwa
msomaji wa makala hizi za ujenzi! Lengo letu ni kuhakikisha unaendelea
kutembelea mtandao huu kwa kujifunza mambo mbalimbali ya ujenzi
Katika ujenzi kiwanja ni
kipande cha eneo ambacho hutumika kwa kujenga majengo mbalimbali. viwanja
hutofautiana kutoka eneo moja hadi lingine kulingana na sura ya...
Jumatano, 12 Agosti 2015

Habari za wakati mpendwa msomaji wa makala
hizi za ujenzi…!
Kutokana na ukuaji wa sayansi na
teknolojia wataalamu mbalimbali wa ujenzi wamekuwa wakifanya vitu tofauti
tofauti ili kupendezesha zaidi, kurahisisha na kupunguza gharama za ujenzi.
Hapa tumekuwekea picha zinazoonesha maua
ya urembo maalumu yaliyobandikwa kwa kutumia...
Jumatano, 5 Agosti 2015

UTANGULIZI:
Dari imekuwa ni sehemu amabayo inasahaulika sana katika ujenzi wa nyumba zetu kwa maana ya kuwa inapewa angalizo kidogo sana.
Lakini umaliziaji mzuri wa Dari huweza kuzidisha uzuri wa nyumba yako.
Dari imekuwa ikificha bomba za umeme na huduma nyingi ili kuondoa uzia kwa wakazi wa nyumba husika na kuwapa muonekano mzuri.
Ili...
Jumamosi, 1 Agosti 2015

Habari za wakati mpendwa msomaji!
tunatumaini taarifa tunazokupatia zinakusaidia kwa namna moja ama nyinginekwa
maana lengo letu ni kuhakikisha tunakuwa kitovu cha taarifa mbalimbali za
ujenzi. Hivyo basi usisite kututafuta kama unachochote kwa mawasiliano
tunayoweka hapo chini (kila mwisho wa taarifa).
Katika ujenzi wa jengo...
Jumatano, 29 Julai 2015

Habari za wakati mpendwa
msomaji!
Kuna sababu mbalimbali zilizopelekea
binadamu kubadilisha mifumo ya kuishi (life style) na hii imesababisha
mabadiliko makubwa sana katika upande wa ujenzi tokea kuishi kwenye vichaka na
miamba/mapango mpaka sasa kwenye majengo. Hivyo basi hatuna budi kukupa historia
za tamaduni zetu na maeneo...
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)