+255 753 066 151

ujenzielekezi04@gmail.com

Ubungo Kibangu at Kinondoni Dar-es-salaam Tanzania

Jumatano, 22 Julai 2015

angalia hapa jinsi matairi mabovu ya magari yanavyotumika kama urembo kwenye jengo



Habari za wakati mpendwa msomaji! inawezekana vitu hivi ukawa ushawahi kuviona lakini jinsi umaliziaji wake ulivyokuwa ukiambiwa ni matairi usiamini.
sasa hapa tuangalie baadhi ya picha zinazoonesha urembo katika majengo uliotumia matairi mabovu ya magari kama malighafi.
kuona urembo mwingine unaovutia uliotengenezwa kwa kutumia tairi bovu bonyeza maandishi ya blue hapo chini




UREMBO UNAOVUTIA ULIOTENGENEZWA KWA TAIRI 

kwa ushauri/maoni/swali wasiliana nasi kupitia
Namba ya simu: +255 753 066 151, +255 655 699 342, +255 714 835 965

3 COMMENTS

Bila jina alisema ...
22 Julai 2015, 12:58

Nimewapata hapo


Admin alisema ...
25 Julai 2015, 17:06

duh noma sana no mojawapo ya fursa kwa vijana ila nadhani ugumu utakuja kwenye malighafi


Unknown alisema ...
25 Julai 2015, 21:42

Tairi ndo malighafi yenyewe vingine ni niongeza kama rangi, maua, nk. ila vifaa kama kisu, mkasi, ni lazima kuwa navyo@richard


Chapisha Maoni

Popular

All Rights Reserved UJENZI ELEKEZI | Mtengenezaji wa BLOGG CHIKULO +255657103506 | +255753103506