Ijumaa, 1 Mei 2015
JINSI YA KUANDAA DOORS & WINDOWS SCHEDULE KWENYE ARCHICAD
Je Umeipenda Hii Habari?
Utangulizi & Historia ya Interactive Schedule
ArchiCAD’s Interactive Schedule Inakuruhusu uweze kuandaa DOORS & WINDOWS SCHEDULE Haraka na Kwa Urahisi Sana.Interactive Schedule Inaonyesha Idadi ya elements zilizotumika, Pia inakuruhusu uweze kufanya marekebisho ya element husika.Hii inakusaidia kuweza kubaini kama kulikuwa na makosa kwenye kuweka data za element husika.
Kwa mfano Interactive Schedule inaweza kukuonyesha katika madirisha yote yaliyoweka kuwa yana urefu sawa na upana sawa. Hivyo waweza kulichagua dirisha husika na kulifanyia marekebisho na itakuwa "updated" mara moja.
kuandaa door au window schedule Utatumia Element List . Nenda kwenye Navigator > Project Map > shuska chini hadi kwenye Schedules > Element > chagua Door List auWindow List
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 COMMENTS
Chapisha Maoni