Photo by: Flickr

Bidhaa

za ujenzi

Soma Zaidi
Photo by: Flickr

Huduma

Ya mafundi ujenzi

Soma Zaidi
Photo by: Flickr

Ushauri

Wa Ujenzi

Soma Zaidi

We are Unique Experts

Huduma

kwa mahitaji ya mafundi wa nyumba(kuona kazi zao na mawasiliano) bonyeza hapa..

Bidhaa

bonyeza hapa.. kuona bidhaa mbalimbali zinazotumika katika ujenzi wa nyumba

Ushauri

kwa ushauri na kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu ujenzi wa nyumba bonyeza hapa ..

Awesome

bonyeza hapa.. kuona picha na video za ubunifu wa nyumba na majengo mengine.

Taarifa

bonyeza hapa.. kujua viwanja na nyumba zinazouzwa au kupangishwa

Historia

karibu katika kipengele hiki kujua historia mbalimbali zinazohusu ujenzi.

+255 753 066 151

ujenzielekezi04@gmail.com

Ubungo Kibangu at Kinondoni Dar-es-salaam Tanzania

Jumatano, 9 Mei 2018

Picha za design ya nyumba na muonekano wa nje (landscape) yenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 15 kwa 35

Habari za wakati ndugu msomaji wa makala zetu zinazohusu ujenzi wa majengo! Katika makala hii tunakuonesha picha za moja ya design mazingira ya nje na jengo kulingana na ukubwa wa kiwanja ulichonacho. nyumba inaukubwa wa mita 11.1 kwa 12.6 na kiwanja kinaukubwa wa mita 15 kwa 35  muonekano wa mbele nje ya fensi muonekano wa mbele ya nyumba ambapo ni eneo la maegesho ya magari eneo la nyuma (kuingilia mlango wa nyuma) eneo la nyuma ambapo ni pakufulia na kuanikia (laundry) wasiliana nasi kupitia email:...

Jumamosi, 12 Septemba 2015

UWEKAJI (INSTALLATION) YA UMEME WA NYUMBANI KATIKA UJENZI

Habari za wakati mpendwa msomaji! tunatumaini umzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku. Katika ujenzi kila kazi/kitu kina muda wake mfano huwezi peleka mabati kwenye eneo unalojenga(site) wakati ndiyo kwanza unachimba msingi hivyo basi hata mfumo wa umeme unamuda wake. Kumbuka: Lengo la kukuwekea mada hii ni...

Alhamisi, 10 Septemba 2015

JE UNAFAHAMU WAKATI SAHIHI WA KUHAMIA KWENYE NYUMBA KAMA UNAJENGA KIDOGO KIDOGO?

Habari za wakati mpendwa msomaji! Karibu tena kwenye uwanja huru wa kujipatia taarifa na elimu mbadala kwa mambo ya ujenzi. Ujenzi wa nyumba ya kuishi ni jukumu ambalo kila mtu hulifikiria pale anapofikisha umri fulani wa kujitambua, mara nyingi sio kila mtu anayefikiria hupata fursa ya utekelezaji la hasha hutegemea kipato cha...

Jumamosi, 22 Agosti 2015

HIKI NDIO CHANZO CHA KIPINDUPINDU

Habari za wakati huu mpendwa msomaji wa makala zetu za ujenzi. leo tutaangazia chanzo cha ugonjwa wa kipindupindu ambao umeukumba jamii yetu, Na tatizo hili limekuwa likijirudia takribani kwa kila mwaka nchini kwetu. Tukiwa kama wataalamu wa ujenzi, Tunaliangazia suala hili katika mtazamo nyeti na chanya kabisa. SeemAndhra - mji...

Ijumaa, 21 Agosti 2015

HUU NDIYO MWANZO WA BINADAMU KUISHI KWENYE MAJENGO

Habari za wakati ! pasi na shaka u mzima wa afya, na kama haupo vizuri basi mungu atakujaalia kwa njia atakayopendelea maana mungu hamtupi mja wake. Kama haujawahi kufatilia historia za mwanzo wa binadamu kuishi kwenye majengo ipo hivi; Katika miaka ya 3500BC – 324BC (yaani kabla ya kuzaliwa yesu)...

Jumapili, 16 Agosti 2015

USHAURI KWA WALE WANAOTAKA KUJENGA NYUMBA KWENYE KIWANJA KILICHOPO KWENYE MUINUKO

Habari za wakati mpendwa msomaji wa makala hizi za ujenzi! Lengo letu ni kuhakikisha unaendelea kutembelea mtandao huu kwa kujifunza mambo mbalimbali ya ujenzi Katika ujenzi kiwanja ni kipande cha eneo ambacho hutumika kwa kujenga majengo mbalimbali. viwanja hutofautiana  kutoka eneo moja hadi lingine kulingana na sura ya...

Jumatano, 12 Agosti 2015

PICHA ZA MAUA YA UREMBO YANAYOPENDEZESHA UKUTA

Habari za wakati mpendwa msomaji wa makala hizi za ujenzi…! Kutokana na ukuaji wa sayansi na teknolojia wataalamu mbalimbali wa ujenzi wamekuwa wakifanya vitu tofauti tofauti ili kupendezesha zaidi, kurahisisha na kupunguza gharama za ujenzi. Hapa tumekuwekea picha zinazoonesha maua ya urembo maalumu yaliyobandikwa kwa kutumia...
  • Popular
  • Archive
  • comments

Popular

All Rights Reserved UJENZI ELEKEZI | Mtengenezaji wa BLOGG CHIKULO +255657103506 | +255753103506