Jumanne, 9 Juni 2015
mambo ya msingi yanayotakiwa kuwepo kwenye hoteli
Je Umeipenda Hii Habari?
Habari za wakati mpendwa msomaji wa makala zetu zinazohusu ujenzi, ni matumaini yetu umzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kawaida.
katika muendelezo wetu wa kukuelimisha na kukupa taarifa mbalimbali zinazohusu ujenzi basi hapa tutaangalia ni vitu gani vinavyokuwepo kwenye hoteli. Hii ni kwa ajili ya kuwapa japo a,b,c kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye biashara ya hoteli, na watumiaji wengine kwa ujumla.
Hoteli ni jengo la kibiashara ambalo hutumika kwa ajili ya malazi (accomodation), mara nyingi jengo hili hujengwa maeneo ya mjini(town hotel) au maeneo yenye vivutio vya kitalii (vacation hotel).
vitu/vyumba vinavyokuwepo ndani ya hoteli.
- sehemu ya kupikia(kitchen)
- sehemu ya kufulia na kuanikia nguo(laundry) inaweza kuwa sehemu ya wazi au chumba
- stoo ya vitu (store room)
- sehemu ya kubadilisha fedha za kigeni(bureau DE change).
- vyumba vya kubadilishia nguo wafanyakazi (exchanging room)
- chumba/sehemu ya kuweka jenereta (stand by generator)
- sehemu ya kuegesha magari(car parking).
kwa ushauri/maoni/swali wasiliana nasi kupitia
email: ujenzielekezi04@gmail.com
Namba ya simu: +255 753 066 151, +255 655 699 342, +255 714 835 965
0 COMMENTS
Chapisha Maoni