+255 753 066 151

ujenzielekezi04@gmail.com

Ubungo Kibangu at Kinondoni Dar-es-salaam Tanzania

Jumamosi, 20 Juni 2015

HATUA 10 ZA KUANZISHA BUSTANI YA NYUMBANI ( HOME GARDEN)

Habari za leo ndugu msomaji wa makala zetu za ujenzi, Tunatumai u mzima. Kabla ya kuziangalia hizi hatua 10 za kuanzisha bustani yako nyumbani ni vyema tukaweza kujua umuhimu wa bustani ya nyumbani.   Baadhi ya umuhimu wa bustani ya nyumbani ni pamoja na: 1. Kupata hewa safi na ya asili 2. Kupata sehemu nzuri ya kupumzikia nje ya nyumba. 3....

Alhamisi, 11 Juni 2015

JINSI YA KUANZA KUCHORA KWA KUTUMIA AUTOCAD

Mpendwa msomaji pole na majukumu ya kila siku katika harakati za kujenga uchumi wetu na wa nchi kwa ujumla. Huu ni muendelezo wa mafundisho yanayohusu utumiaji wa program ya autocad, na ni matumaini yetu kuona ukituelewa kwa kile tunachokupatia. kama hukufanikiwa kuona mafundisho yaliyopita usijali bonyeza kwenye maandishi  hapo...

Jumanne, 9 Juni 2015

mambo ya msingi yanayotakiwa kuwepo kwenye hoteli

Habari za wakati mpendwa msomaji wa makala zetu zinazohusu ujenzi, ni matumaini yetu umzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kawaida. katika muendelezo wetu wa kukuelimisha na kukupa taarifa mbalimbali zinazohusu ujenzi basi hapa tutaangalia ni vitu gani vinavyokuwepo kwenye hoteli. Hii ni kwa ajili ya kuwapa japo a,b,c kwa wale...

Jumamosi, 6 Juni 2015

FAHAMU JINSI NYUMBA UNAYOISHI INAVYOWEZA KUATHIRI MFUMO WAKO WA MAISHA WA KILA SIKU

Huenda ushawahi kujikuta au kuona baadhi ya watu wana tabia ya kuinamisha vichwa chini wakiwa wanapita mlangoni. Haijalishi wakiwa wamekwenda wapi , na pengine mlango ni mrefu tu kuliko wao. Au  kuna baadhi ya watu huwa wanajikuta wakijikwaa kwenye ngazi wakiwa katika mazingira mageni na waliyozoea. Hii ni athari ya kisaikolojia ambayo...

Ijumaa, 5 Juni 2015

vitu vitatu (3) vya kuchunguza kabla ya kununua kiwanja

Habari za wakati mpendwa msomaji. Bila shaka hakuna mtu ambaye tangu amefikia umri wa kujitambua hajafikiria kununua au kumiliki kiwanja/viwanja, hivyo basi hapa tunataka kukueleza mambo matatu ya msingi kuchunguza ukitaka kununua. Ili usipitwe na makala zetu zilizopita zinazohusu viwanja bonyeza maandishi ya bluu hapo chini. hivi ndiyo...
  • Popular
  • Archive
  • comments

Popular

All Rights Reserved UJENZI ELEKEZI | Mtengenezaji wa BLOGG CHIKULO +255657103506 | +255753103506