Jumatano, 9 Mei 2018
Picha za design ya nyumba na muonekano wa nje (landscape) yenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 15 kwa 35

Habari za wakati ndugu msomaji wa makala zetu zinazohusu ujenzi wa majengo! Katika makala hii tunakuonesha picha za moja ya design mazingira ya nje na jengo kulingana na ukubwa wa kiwanja ulichonacho.
nyumba inaukubwa wa mita 11.1 kwa 12.6 na
kiwanja kinaukubwa wa mita 15 kwa 35
muonekano wa mbele nje ya fensi
muonekano...
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)