Jumatatu, 3 Novemba 2014
mpendwa msomaji wa makala hizi zinazohusu ujenzi, hapo chini utaona orodha ya watu wanaohusika na ujenzi kwanzia mwanzo mpaka mwisho pamoja na majukumu yao.
1. Mteja/mwajiri
huyu ndio mtu au watu wa msingi katika ujenzi ambaye ndiye mhitaji wa jengo, mmiliki wa kiwanja, na mwezeshaji au mwekezaji wa jengo. mteja/mwajiri anaweza...
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)